Tunajivunia kuwa na Rais ambaye si tu Kiongozi wa Taifa, bali pia Mama na Rafiki kwa wananchi wake. ♥️🇹🇿
Dkt. @SuluhuSamia ameendelea kuonesha uongozi wenye kujali, kusikiliza na kuwatumikia Watanzania kwa moyo wa dhati. Mama Samia ni Fahari yetu, Alipo Tupo.💪📌
#KazinaUtuTunasongambele
Imagine celebrating the trailer before the full movie. The Chanzo’s February headline said “frozen.” A July decision reported by Daily News says the full €156 million allocation proceeded. Diplomacy has a funny way of demanding a sequel. Cc @TheChanzo@godbless_lema.
#WanaharakatiLimewashuka
Maana halisi ya uzalendo Ukiona jambo haliko sawa na unaweza kulirekebisha bila kuleta shida JUST DO IT watu kama huyo mdada hapo tunao waengi sana sema jamii ndiyo kikwazo hata yeye amekatishwa sana tamaa na baadhi ya watu wajinga kwenye jamii bt aliwafungia vioo. 👏❤️🇹🇿
CHIMBO LA VIJANA BRUNCH inakuja Gymkhana Grounds, Posta tarehe 24 na 25 Oktoba. Njoo kwa muziki na chakula. Baki kwa ajili ya mazungumzo, huduma na fursa.
Vijana wanahitaji taarifa. Vijana wanahitaji fursa. Vijana pia wanahitaji sehemu za kupumzika na kufurahi. CHIMBO LA VIJANA BRUNCH inaleta yote pamoja.