Siasa zipo kila mahali Duniani ni vile upande wetu zinakuwaga chafu,. kwenye kikosi cha England towards Fifa Wc 2026, Jude Belligham na Trent Alexander-Anold hawakuitwa ila Foden aliitwa, Sasa hivi Kocha anataka kumuacha na Foden, kashapata shinikizo,..
majina makubwa ila kawaida sana na mwaka huu hakuna kitu watafanya🚮.