Unaanza biashara ukiwa na imani kubwa ya mafanikio, unalipa kodi ya frame, unanuna mzigo na kajaza shelf zako,
Unatafuta fundi wa mabango akuwekee bango la 3D nje,
Ndani logo yako na nyuma iwake taa.
Unawapigia marafiki, ndugu na jamaa kuwapa taarifa umeenza ile biashara…
Jamaa anadai kusoma SAANA ni ujinga au kupoteza MUDA , kusoma msome ila msisome SAANA
Jamaa anadai kufanikiwa kumefichwa kwenye matokeo, watu wanamafanikio na hawana ma PhD
My friend kila Mtu anahatima yake kwa kila anachofanya
Billionea wengi wamesoma ila SIO SANA so SOMA-2