π£οΈ Ronaldinho on his experience in prison:
"I thought they were going to hit me and do all the terrible things that usually happen in prison. But instead, they called the guards to organize soccer matches and asked me to do some tricks to entertain them.
The morning after my arrest, we were taken out to play a five-a-side match. The guards and some prison officials came to watch the game with the cameras on; everyone had a great day.
I can say that my time there was good."
Nini siri ya Furaha na kujiamini kwa aliyekuwa meya wa ubunge Bon yai? licha ya kesi yake Boni Yai na Malisa wanaokabiliwa na kesi ya jinai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakidaiwa kutoa taarifa za uongo mitandaoni, wakilihusisha Jeshi la Polisi na mauaji ya raia wawili.
Klabu ya Yanga Imefanikiwa kutinga hatua ya fainali michuano ya muungano cup baada ya kuwaondoka Zimamoto kwa mikwaju ya penati kwani mchezo ulimalizika kwa sare ya goli 1:1
#votsports#muunganocup
Leo ni kumbukizi ya miaka 53 tangu kutokea kifo cha aiekua Rais wa kwanza wa Zanzibar.
Sheikh Abeid Amani Karume alizaliwa Agosti 4,1905, alifariki Dunia Aprili 07, 1972 baada ya kupigwa risasi katika Jengo la makao makuu ya Chama cha Afro Shirazi huko Kisiwandui, Zanzibar.
@PMadeleka Mkuu habari sisi ni Media tuko Mwanza tunatafuta namna ya kukupata DM yako haitupi fursa hiyo tunaomba tupate mawasiliano yako ukiona comment hii tafadhali... Asante
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde amesema daraja la J.P Magufuli (Kigongo Busisi)KM 3 litaanza kutumika rasmi Aprili 30 mwaka huu.
amesema ifikapo Aprili 10, 2025 magari yataanza kupita upande mmoja na ujenzi wake umefikia asilimia 97.
βMsimu ujao tutaboresha kanuni na tutazifanya ziwe wazi zaidi, tukio Kama hili lililotokea msimu huu pale kwa Mkapa hamtaliona tena, na Msimu ujao Kama timu haina uwanja wa mazoezi isahau kucheza ligi kuu,β amesema Mguto.
Chanzo:mwananchi digital
#votsports#tumechangamka
Ahsante kwa Familia ya YOUTUBE Inaendelea Kukua kila siku na sisi tunaendelea kukupa kile kilicho bora.
Please Subscribe, like, comment and Share.
Thank You Very Much ππ
#votmedia#tumechangamka
Hii ni Picha ambayo imeshinda tuzo mbali mbali ulimwenguni, (Winged Prism), Picha hii imepigwa na Mpiga Picha Raia wa Australia anaefahamika kama Christian Spencer.
Unaipa asilimia ngapi ya Ubunifu picha hii?
#votviral#photography#tumechangamka