Nawashukuru wajumbe wa mkutano mkuu kata ya ludete Kwa kunifanya niwe mshindi wa 3 kati ya wagombea 13 wa kiti cha UDIWANI kwenye kata yangu .
ASANTE SANA WAJUMBE.
October 2020 Twende Na ccm.
# Hatua yaโฆ https://t.co/tNwB4t34VC
Hili nalo limeisha asante wajumbe wa mkutano mkuu jimbo la busanda mmenipa heshima ya kuwa mtu wa 10 kati ya 48 nawashukuli sana . Twende October Na CCM.
#Hatua ya uhakika
#Tunasonga. https://t.co/N8z4wF4iCE