@MsigwaGerson Hata kwao mbunge kiswaga hakuna maji wanachotea maji ya chemichemi barabarani. Kaka Gerson Msigwa pamoja na kazi kuendelea watu wa mkoa wa Mwanza hawapaswi kukosa maji kulingana na Jiografia ya eneo husika basi ni vyema mheshimiwa PM Mwigulu Nchemba kaliona hilo.
🎥𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐈𝐌𝐄𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐕𝐈𝐊𝐀𝐎 𝐕𝐘𝐀 𝐒𝐈𝐑𝐈 𝐊𝐔𝐇𝐀𝐌𝐀𝐒𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐕𝐔𝐑𝐔𝐆𝐔 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌𝐀𝐀𝐍𝐃𝐀𝐌𝐀𝐍𝐎: 𝐊𝐈𝐇𝐎𝐍𝐆𝐎𝐒𝐈
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, amesema chama cha mapinduzi kimepokea taarifa za kuaminika kuwa CHADEMA Wamefanya kwa vikao vya siri vinavyolenga kuhamasishana vurugu kupitia maandamano katika nchini.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma, Ndugu Kihongosi amewataka wananchi kuendelea kuwa walinzi wa amani, umoja na mshikamano wa Taifa kwa kutokubali kushawishiwa kujiingiza katika vitendo vinavyoweza kuvuruga utulivu wa nchi na kurudisha nyuma maendeleo.
Amesisitiza kuwa maendeleo ya Taifa yanahitaji amani, utulivu na ushiriki wa wananchi katika shughuli za uzalishaji, huku akibainisha kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa salama na yenye mazingira bora ya maendeleo.
"Niwajibu wa kila mmoja wetu kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa salama, yenye amani na utulivu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho." Amesema KIHONGOSI.
Tembelea: https://t.co/XFsl2Qg9M9
_________
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#CCMIpoKazini
#MtumishiWaWote
FAM alituuza sana, Asingeuza nafasi ya Urais kwa Mzee wa Bleach mwaka 2015, Dr. Slaa tusingempoteza CHADEMA.
Still 2025 alinuia kuiuza nafasi hyo kwa baadhi ya vigogo wa Mbogamboga, Lissu akashtukia mchezo. Akasema tusichezeane.
Lissu amekuja wakati mwafaka kabsa.
Free Lissu
🚨‼️HUYU NDO MKE WA AWADHI JUMA HAJI, ALIYETOA ORDER YA ‘SHOOT TO KILL’ OCTOBER 29‼️
Jina lake anaitwa Eliza Joseph, huko mitaa ya Facebook anajiita Ellyzer Joseph
Eliza amesoma shule ya Tarakea High School.
Hapo awali Eliza alikuwa Askari wa usalama barabarani ila baada ya kuolewa na Awadhi alimuhamisha huko kwenye uTraffic na kumfanya kuwa Polisi wa kawaida ambapo kituo chake cha kazi ni Oysterbay Polisi.
Eliza na Awadhi wanamtoto wa kike anaitwa Tiffa, wanaishi maeneo ya UNUNIO, Jiji Dar es Salam
Namba yake ya simu ya Eliza ni +25565230655x
Mkimuona huko njiani basi mjue ni mme wake ndo alitumika kutoa order ya kuuwa Watanganyika wenzetu Oktoba 29.
#HabariPicha
Baadhi ya mawakili wakiwa wamehudhuria Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) uliofanyika tarehe 30 Aprili 2026 kwenye ukumbi wa AICC jijini Arusha.
@Sisimizi3 Kwa aina ya siasa ilivyo mpaka sasa linaweza kutokea, Namkumbuka kaka @masoudkipanya alipost katuni 👇👇👇👇 vijana waliombeza ndiyo walihamia CHAUUMA..
Fortunatus Buyobe amekematwa na askari kutoka Dar Central Police nyumbani kwake jioni hii. Hatujui wanampeleka wapi. Buyobe amekuwa akitafutwa atekwe sababu ya maoni yake. Huu ushenzi haukubaliki. Free Fortunatus Buyobe Now!