SIMBA WANATAKIWA KUKATWA ALAMA TATU.
Kanuni ya Mpira Wa Miguu Timu Ikipewa Kadi Nyekundu tatu mfululizo inatakiwa kukatwa alama 3.
Hivyo Simba wanatakiwa Kukatwa Alama tatu kama vipengele vya FIFA vinavyosema.
@hecenmo Sema wewe hua una jicho la tofauti ,maana kama uliwahi kusema Max ni kiungo mijasho na hafai kuchezea yanga hata hapa sioni ajabu,ila kwangu mimi Shashaman alikua superb pale mbele na alideserve zile dakika
@mee_nicodemus Nahis kama Yanga tunahitaji 6 na 10 ya maana then tutakua sawa sana...Okelo mzuri ila tunahitaji 10 inayoweza kubeba majukumu makubwa zaidi