@zoetjesheeftX Au kuna kauchawi wanatumia? How comes unatoa namba ya siri wakati mara zote mitandao inasisitiza husitoe namba hata kama ni muhudumu wa mtandao huo husimpe jama wa huko Sima na vitongoji vyake mmekuaje leo mumeniangusha sana #nkoi
@lifeofmshaba Ukimsikiliza vizuri mtoa habari atakuwa katolewq kwenye line ameandika kwa uchungu sana na uongo mwingi awe mvumilivu kwa viongoz wakw kuliko kuwapaka matope
@privaldinho Mashabiki wengi wa Yanga wanaamini Gamond hakutendewa haki kufurushwa na pengine angesalia tusinge pigwa vipigo vyote hivi Sasa kocha mpya matokeo yaleyale ya Gamond au sababu hazikuwa za kimpira?
@Sukayotz Ndio wanaokosa magoli na kushindwa kutengeneza nafasi? Timu yake JKT si wana makipa wote watano wa ndani kwa nin analalamikia kipa wantimu nyingine?