@jjjjovian@grok Yes Quran confuses Her with Miriam, Aaron's sister, see this, Virgin Mary is daughter of Joachim, but Quran attributed her to Imran, who was Aaron's and Miriam's and Moses' Father
@SaumuYanga@MkulimaKante Watanifanya kwakuwa wao wamelewa au kwakuwa mimi nimelewa?? Ungesema mimi nitawafanya ningeona tatizo la pombe, ila kwakuwa unawasema vijana "waovyo" ila hawajalewa, hapo shida bado siyo pombe, mfano wewe umefanya ngono mara ngapi?? Na je, ilisababishwa na pombe au mwili wako tu.
@SaumuYanga@MkulimaKante MSISITIZO WANGU NI KWAMBA, POMBE KWAMBA INAZUILIWA KWASABABU ITASABABISHA NGONO NI KUISINGIZIA, sema kwa kuwa ni haramu tuiache kama ilivyo
@SaumuYanga@MkulimaKante Dadaangu kufanya kazi bar "kuuza pombe" ambayo mimi siendi nitaona Sawa, kwa MKE WANGU hapana kwasababu ananihudumia MIMI, lakini kuhusu mwanamke kutakiwa kingono ni popote hata sehemu ambazo si za pombe, MTU ANAPANGA KABLA YA KULEWA KWAMBA, ATALEWA NA ATAFANYA NGONO
@SaumuYanga@MkulimaKante "Mkishakunywa pombe mnawaza ngono" Saumu waislamu "wanaume" wanawaza ngono kila wamwonapo mwanamke, ndiyo maana wanawake wanakuwa nyuma msikitini na wanaambiwa ni bora zaidi waswali nyumbani!! Wanawake wanajifunika mpaka vidole kwasababu hiyo