when we were young we used to wander in the forest looking for mushrooms for dinner Today we get older and we are wandering in the street looking for food.
Make each day count today, no better days to come.
@John_zedev Nimekesha kwa wanganga, nimevunja nazi njia panda, nimeshikishwa tunguri msata mkata nikabeba manyanga.
Mikesha kila diniii, nyumba zote za ibada nimeshiriki sana, Manusura kukufuru sijaumbwa na wew
There will come a time when a little financial security and a quiet room filled with loud music will make perfect sense in your life.
This is for the survivors. The ones who have seen enough, fought enough. Survived enough.
โKhamis Kalumuna.
@chapo255 sure. Binafsi. sioni kama kuna shida kwa hawa madogo. ni ukuaji. hata sisi tumefanya sometimes hata zaidi. the difference is, hawa wa leo wamepevuka kwenye teknologia so they're more exposed compared to our era.
@DanyeMufasa wako SAHIHI KABISA. kila binadamu anavyofikia hatua flani ya ukuaji ndo namna vipaumbele vina tofautiana. kuna stage utahitaji vitu, kuna stage utahitaji familia na kuna stage utaitaji investment kuna ....... hivyo hivyo