@OleSangka Waambie hao waliokosa; @UNHCRTanzania hivi karibuni watakuwa na mnada wa hizo Landcuiser pale Mubondo - Kasulu zilipo ofisi za #AIRD.
Wawahi mapema kablahawajawahiwa tena.
@MkulimaKante Marketing Entry:
ExportingΒ (Direct/Indirect):Β Simplest, low-investment, suitable for testing demand.
Licensing/Franchising:Β Grants rights to foreign partners to produce/sell goods.
Joint Ventures/Partnerships:Β Collaborating with local firms for shared expertise and risk.
@Wanabbies@Jizzlewantandu Waambie pia, hata yule jamaa wa vicoba vya wenye uhitaji maalum na yeye na wa hivyo hivyo tangu kitambo sana.
Vipepeo walipikwa vyema sana kujenga vizuri ule Mji wa Bwana pale maweni chini ya Baba.
Kuweni makini mnapotuma na kujieleza kuhusu sadaka zenu.
@ModdohClassic Nimejoin veteran team hapa mtaani kwetu kwa ajili ya jogging, football and the likes....
Najivunia kupata marafiki wapya wengi wenye talents na skills tofauti huku tukishare mawazo na kusaidiana mara kwa mara.