Ni mstari gani unao ukubali kutoka kwenye hii ngoma ya @official_chidibeenz aliofanya Wanene Tv?
Full video inapatikana youtube, bonyeza link kwenye Bio hapo juu 🙏
#WaneneTv#ChimboLaMiChanoSeason2 @ Wanene Studios https://t.co/iJyml5sL8J
Wanene Tv Session Presents @official_chidibeenz
Video itakua hewani kuanzia kesho kupitia YouTube channel ya @wanene.tv
Moto huu noma usikose kutizama 💪🏾 @ Wanene Studios https://t.co/66ZGCkw0Fk
King is back again @official_chidibeenz 💥
Mpango mzima utakua ni @wanene.tv Fanya kwenda kuSubscribe channel yetu ya YouTube ili usipitwe na hili balaa✍️ @ Wanene Studios https://t.co/Ke7mAnjQ7B