Mafunzo ya Siku 7 ya uhariri wa filamu.
Mafunzo haya yameandaliwa na @tanzania_film_board ikishirikiana na ubalozi wa uswizi pamoja na @nafasiartspace
Mafunzo haya yamefanyika katika studio za @wanenestudios https://t.co/zUe6gJnZnJ
Wanene Tv Chimbo La Michano Season 2 @wakazi ππ‘πΊ
Full video inapatikana YouTube ya Wanene Tv, au bonyeza link kwenye Bio hapo juu π
#WaneneTv#chimbolamichano @ Wanene Studios https://t.co/iHO9h2uQtt
#WaneneTvSession Season 2
ββββββββββββββ
Full video unaweza kuitizama kupitia YouTube ya @wanene.tv
Msanii wakwanza Msimu huu wa pili kwenye Session za Chimbo La Michano ya Wanene Tv ni @official_chidibeenz https://t.co/48dDUML9Kd