Wanetu makarao, poleni sana kwa kubebeshwa silaha kumlinda muuwaji wa maelfu ya ndugu zenu. Jua lenu mvua yenu. Siku tukipata uhuru nanyi mtakuwa huru!
Rafiki zangu wa Nguvu nawashukuru Sana kwa msaada wenu, jana nimefanikiwa kukunua vitu muhimu kwajili ya kutengeneza wilichea yangu ambayo ndo mguu wangu wa kutembelea, nimefakiwa na wilichea imebadilishwa taili kutoka ya zamani na kuweka mpya. Sio kwa juhudi zangu ni juhudi zenu
Wanaowaambia watu wasiandamane wasiishie tu kuwapa madhara ya maandamano hayo.
Bali wawape majibu ya sababu na agenda zinazowafanya waandamane!
Ukiwaambia tu madhara tena kwa vitisho haitasaidia, wanaweza ogopa kwa muda mfupi na kesho wakayapanga tena.
Lakini ukiwapa majibu ya kueleweka ya agenda zao wataachana na maandamano!
It’s that simple
Katambi, taja KIFUNGU cha sheria au IBARA ya Katiba inayokupa MAMLAKA ya KUZUIA shughuli za kisiasa, acha longo longo! Maneno mengi ya nini! Taja kifungu.
Tuko Msibani. Acheni Tuzike. CHADEMA ni moja. Lissu & Heche ndio walikabidhiwa Jahazi. Tutawalinda kwa wivu mkubwa kwa maslahi ya Taasisi yetu. Matumaini ya Vijana ndani ya Taifa letu yapo CHADEMA, Tutakilinda Chama hiki na Viongozi wake. Puuzeni UMBEA. BAVICHA tukutane DODOMA.
It goes without saying that my guy Tundu Lissu’s resolve and commitment to the cause is exceptionally unbelievable!💪🏽
Hang in there and see what the Lord will do for you and the Nation🇹🇿 you dearly love.
Uwe hodari na moyo wa ushujaa.
Mungu akulinde dhidi ya hila za waovu🙏🏽
Pole sana Mhe @HecheJohn. Uso wako unaonyesha uchungu na maumivu uliyobeba moyoni.
Mungu ndiye mfariji na tumaini letu na tumaini halitahayarishi.
Iko siku maumivu hayo yatakwisha kwa maana hakuna kidumucho chini ya jua Mungu ndiye mratibu wa mambo yote na kwa nyakati zote.
Wapo watu wanaishi kwa kutafuta makofi, na wapo wanaoishi kwa kusimamia dhamiri zao. Kwangu, Tundu Lissu ni mmoja wa watu wanaochagua dhamiri kuliko urahisi. Unaweza kukubaliana naye au kutokubaliana naye, lakini si rahisi kupuuza ujasiri wake wa kusema anachoamini. Hiyo ndiyo sababu ninamheshimu kama rafiki na kama binadamu. Na pia kama Kiongozi wangu.
We shall overcome!
THE LAW SCHOOL OF TANZANIA:
Iko hivi; yaani pale LAW SCHOOL OF TANZANIA, hawaangalii wewe ni WAZIRI, MKURUGENZI au MENEJA. Ukiwa ni KICHWA PANZI, UWAKILI utausikia kwenye BOMBA. SHERIA siyo GAZETI ambalo kila mtu anaweza KUSOMA.😂😂