Zikitokea fursa za kujiendeleza au ajira kazini kwenu unawakunjia washikaji zako, ila likija swala la kuchangiana mipunga unawatumia text mbili mbili kuwapuna mia mia zao.
Kuna Matatizo mengine sio lazima usaidiwe na Mwenyezi Mungu, kwa mfano hili tatizo la Jua kuzidi kuwa Kali sana huwezi kujiongeza?
Chukua Cap Tsh. 15,000/=wa #watersportwears itakuwa umepunguza baadhi ya Matatizo.
Mchezo Wa Glass race ni miongoni mwa Michezo mizuri sana.
Kwenye Bonanza lililoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania @ATE_Tanzania huu mchezo utakuwepo pia.
Hii nayo Imeenda🔥
#WaajiriBonanza2023#ATETanzania
Feed Grade Sulphur:
Feed Grade Sulphur ni chakula cha mifugo ambacho kina Sulphur inayosaidia wanyama wanaocheua (ng’ombe, kondoo, mbuzi) kuchakata amino asidi,methionine na lysine.
Faida
☑️Huongeza uzalishaji maziwa kwa ng’ombe wa maziwa.
#MifugoBoraNaYara#YaraTanzania
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Lindi wakifurahia upatikanaji wa vitabu shuleni. Shule hii ni ya mchepuo wa sayansi na ni moja kati ya shule 26 za wasichana zilizojengwa na Serikali kupitia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) katika mikoa yote nchini.
#MamaYukoKazini
⌚ : Mlima uliobakia wa T900 ultra Yamebaki masaa machache ya offer kuisha
Jipatie yako sasa kwa offer ya masaa 24 kwa watu wateja watano wa mwanzo.
💰 : Utaipata kwa tsH 𝟒𝟬, 𝟬𝟬𝟬/= Badala ya tsH 43,000/=
📍: Dar Es Salaam
☎️ Whatsapp : +𝟮𝟱𝟱 𝟳𝟲𝟲 𝟵𝟬𝟭 𝟱𝟬𝟵 🇹🇿
Ukiwa sehemu yako ya kazi ghafla unapokea taarifa njema.
Umeteuliwa kuwa CEO mpya wa kampuni.
Unaona ile ndoto yako ya muda mrefu has come true.
Ila kwenye majukumu yako ukaambiwa.
Productivity ya kampuni imeshuka sana.
And sababu ni 70% ya employees sio ...
🧵