Ilikua hivi jana kwenye Planet Bongo.
" Vailet alilimlilia Alikiba sababu ali ambiwa na Rich aoneshe uwezo wake wa kuigiza kwa kumlilia Alikiba"
Ukiangalia hio video Vailet anajua kweli kuigiza na hii inadhihilisha kua mademu wengi huwaga wanatuigizia na wanatumia machozi kama Point ya kuonewa huruma kumbe ni uongo ,😂
Wakuu usiamini machozi ya wanawake kabisa waongo mno 😂😂