@kelvin_mkonyi@kalage_jr@wc_ernest Hakushindwa al ahly walitumia mlango wa nyuma kumsajili kutokea zamalek akaenda denmark akakaa huko miezi 6 tu then akarudi kucheza ahly
🚨Let’s Talk about Dube-Yanga situation
Yanga hawakuwa na mpango wa kuachana na Dube Price, mchakato wa kumwongeza mkataba ulikuwa umeanza miezi kadhaa nyuma
Limekuwa jambo la ghafla, Dube amefikia maamuzi baada ya mechi ya mwisho ya Ligi
✅Yanga wako sokoni #EmuTuone📌
TAARIFA
Tumefikia makubaliano na Klabu ya Yanga kumsajili Mshambuliaji hatari DEPU kwa mkataba wa miaka miwili.
Klabu imeilipa Yanga ada ya uhamisho yenye thamani ya Dola za Kimarekani 130,000.
Karibu sana, DEPU! Tunakutakia mafanikio makubwa ukiwa sehemu ya familia yetu.
Core lessons from the book
1. Financial success is more about behavior than knowledge. Smart people can make poor financial decisions if they lack patience, discipline, or emotional control.
2. No one is crazy. People make money decisions based on their personal experiences, upbringing, and circumstances. What seems irrational to one person may be perfectly logical to another.
3.The power of compounding. Small, consistent gains over a long period create extraordinary wealth. Time is often more important than high returns.
4.Wealth is what you don't see. Expensive cars and luxury homes show spending, not necessarily wealth. True wealth is the money you don't spend
5. Luck and risk matter. Success and failure are influenced by factors outside our control. Stay humble during success and compassionate during failure.
6.Freedom is the highest dividend of money. The greatest benefit of wealth is having control over your time and life.
Hivi mnajua yaliyojiri huko Kigoma? Nyekiti yenu ntu ya dili inatuhumiwa kwa kula michango ya mamilioni na kushirikiana na Gavoo. Almanusura ngumi zipigwe, kijana ya R chuga ilinyanyua kiti. Na ile Matako imetema cheche. Wamelifunika lakini moshi ni mzito sana watu wanapaliwa😂😂
KINACHOENDELEA KIGOMA KUHUSU KIFO CHA DEREVA WA MHE. HECHE.
Anaandika Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Deogratius Mahinyila
Ni muhimu pia taarifa zikawa zinasemwa zote.
1. Marehemu pia alikutwa na pesa Cash na nilikabidhiwa mimi kiasi cha Shilingi laki 4 na elfu 28.
2. Alikuwa ametokwa na damu mdomoni.
3. Pathologist ambao ndo wanatakiwa kufanya postmortem walifika usiku wa kumkia leo wametoka Mkoani Mwanza na Geita hadi muda huu majira ya saa nane mchana na dakika bado Postmortem haijaanza.
4. Tumejulishwa kwamba kuna Pathologist mwingine anakuja kuungana na waliopo yeye anatokea Dodoma ni wa Serikali.
5. Tumejulishwa kwamba wataalam wote hao baada ya kufika Kigoma, leo asubuhi walipelekwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Simon Sirro, Hatujui walienda kufanya kikao cha nini na kwa ajili ya nini. Je huo ndio utaratibu wa kazi yao?
6. Hapo hapo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma amenukuliwa na Clouds TV alisema kwamba kwa uzoefu wa Polisi (Yeye alikuwa IGP) kifo cha Maradufu ni cha kawaida tu. Je majibu ya uchunguzi yakija tofauti na maoni ya Polisi mtasemaje? Je majibu ya uchunguzi yakija kufanana na maoni ya Polisi mtakataaje kuwa ni matokeo ya mjadala uliofanyika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo asubuhi??
6. Muda ni Mwalimu mzuri. Ukweli una tabia ya kuchelewa kidogo kibinadamu lakini lazima utajidhihirisha ndani ya wakati wake sahihi, tuupe muda nafasi.
7. Sisi tutaendelea kuwepo hapa Mochwari hadi hapo Wataalamu watakapofika na Uchunguzi kufanyika. Matokeo yoyote ya Uchunguzi yatatusaidia kuweka sawa kumbukumbu ya kila jambo.
Mahinyila.
02/07/2026.
Maweni, Kigoma.