Nimekuwa nikiumiza kichwa takribani miezi 2 ya kwamba mshahara wa laki 8 utawezaje kujenga nyumba? Hakika nimekosa majibu na kama Una mchanganuo weka kwenye comments
Kuwa mwanaume anayeweza
1. Kusimama baada ya kuachwa
2. Kupoteza ajira.
3. Kustahimili usaliti,
4. Kukubali kufeli na Kupoteza kila kitu alichonacho
Na BADO akasimama kidete na kusema, ' Sitokata Tamaa Nitapambana na nitashinda