@INFLUENCERjr Arsenal Akishinda mechi ya westham tu,Game over!!Westham yupo relegation red zone atacheza game ya do or die,baada ya hapo arsenal ana burnley ambaye keshashuk,atashind so hata akitoa sare game ya mwisho,atakuwa na points 83 maximum city anaweza fikia,na sion city akiwin b'mouth
Hili kombe la dunia la mwaka huu ni kulipia tu kifurushi kikubwa tuangalizie home maana ratiba za mechi zimekaa vibaya sana😂
Kuna game za;
Saa 4 usiku
Saa 7 usiku
Saa 9 usiku
Saa 11 alfajiri
Saa 1 asubuhi
Itakuwa kasheshe 🙌🙌
Unaanza tar 27-29.
Sportybet🇹🇿;
5LH854 -Odds 138🔥
5XWX6E -Odds 100🔥(Edited from 138)
NB: Huo ni mkeka mmoja wenye version mbili, so jichagulie unauamini.🧘🏿♂️🙏🏿