Nchi ya kusadikika…. Wapora madaraka hawana mbinu, akili wala upeo..
Mvua isiponyesha mda kidogo hakuna maji, mpaka mji mkubwa kuliko yote, 64 baada ya kinachoitwa uhuru eti watu wanapewa Ratiba ya mgao wa maji ya kunywa, kufua na hata kuoga.. sio hata maji ya kuendesha viwanda au Kilimo.
Ikinyesha siku moja tu wala sio mbili… mafuriko na hakuna namna hata ya kufanya hayo maji yatumike siku nyingine. Maji ya mvua yanapotea na kuleta madhara!!!!
@FutbolBanter90@LajosFodor_@FabrizioRomano what if Saliba got injured the same time as Gabriel??.. we saw it to Zinchenko and Calafiori then M.Skelly step up... we need a backup CB
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima akiongea na Waandishi wa Habari leo, Mei 24, 2025 amesema kuwa kumekuwa na mlolongo wa matukio ya watu kutekwa pamoja na kupotea nchini
Askofu Gwajima ameongeza kuwa kutokana na matukio hayo ameamua kuitisha Mkutano na Waandishi wa Habari ili kuongelea kuhusu suala hilo na kisha kutoa Ushauri wake
Soma https://t.co/MjOB52FB4X
#JamiiForums #JamiiAfrica #JFMatukio
DAR: Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema hawezi kuamini kwamba Vyombo vya Usalama havina taarifa kuhusu Utekaji wa Watu ila inawezekana wakifuatilia wanakuta kikundi kilichomchukua Mtu kimetengenezwa na Mwanasiasa fulani kwa faida zake
Ameyasema hayo leo, Mei 24, 2025 akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uwepo wa Matukio mbalimbali ya Utekaji Watu
Soma https://t.co/MjOB52FB4X
#JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights
Askofu Josephat Gwajima ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kawe, ametolea Mfano ikitokea Abdul (Mtoto wa Rais Samia) achukuliwe na Watu halafu kesho aokotwe akiwa hana Macho, tutajisikiaje?
Ametolea mfano kile kilichofanyika kwa Mdude, kifanyike na kwa Mtoto wake au wa Waziri Mkuu au wa IGP tutajisikiaje huku akihoji kwanini wanaopotea wanachukuliwa kama Mbuzi
Soma https://t.co/MjOB52FB4X
#JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Dkt. Josephat Gwajima, amesema Wakuu wa Vyombo vya Usalama wanapoondolewa kutokana na kutokubaliana na baadhi ya mambo ya Wanasiasa basi ipo Siku atatokea ambaye atakuwa anakubali kila kitu
Amesema "Ushauri wangu, wakuu wa Vyombo vya Usalama ili wafanye kazi zao kwa umahiri, wasiondolewe kwenye kazi zao kwa mapenzi ya Mwanasiasa aliyewaweka ili waweze kukataa baadhi ya mambo kwa maslahi ya Nchi."
Soma https://t.co/MjOB52FB4X
#JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #Democracy
DAR: Askofu Josephat Gwajima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe amesema kuna umuhimu wa kubadili Sheria ya kuwaondoa Wakuu wa Vyombo vya Usalama kwenye nafasi zao, kwamba yeyote anapotaka kuondolewa kuwe na sababu na ziwasilishwe Bungeni ili zijadiliwe ili kuwaondolea presha watendaji hao
Akizungumza na Wanahabari leo Mei 24, 2025, ameongeza “Kuwa na Nchi imara tunatakiwa kuwa na Vyombo vya Serikali ambavyo vikiona jambo ni hatari kwa Nchi vinasema hapana, na wakisema hivyo wasidhurike wao na familia zao.”
https://t.co/ZIxTNn0XaW
#JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amesema hayo akiongea na Waandishi wa Habari leo, Mei 24, 2025 kuhusu matukio ya watu kutekwa pamoja na kupotea nchini
Soma https://t.co/L0e33qjYUv
#JamiiForums#JamiiAfrica#JFMatukio
@johnpavone @Mo_Magoda @GlobeEyeNews Blud thinks China will be starving 😭😭😭 lmao they're eating bats as appetizer, snakes as main dish, frog as snacks and all type of reptiles shit 😭😭
@MwananchiNews Taarifa ya TMA ni sahihi ila mmetumia AI kuandika hii habari bila ya nyie kuhakiki kilichiandikwa kwa sababu Kiswahili kilichoandikwa umo ni kibivu sana na hakina uhalisia ni cha AI na sio mwandishi wa habari.
Make sure mnasoma taarifa na kuirekebisha vizuri ata kama mnatumia AI
@Mapungo2020 Yan huu ni upumbavu mkubwa sijawahi ona😂 ndani ya sekunde 10 mtu yoyote akisikiliza hii atajua huu ni upumbavu na waliotengeneza hii ni mafala sana mbumbumbu hawana akili ya kutengeneza script mpk naona aibu mimi😂😂 small mind people