@Thommunkondya Kuna namna ukitazama miaka inayotajwa kuwa nyumba iliuzwa, utagundua ni kipindi kile ambacho watu walikuwa wanakopa fedha kwa kusaini sale and transfer instrument. Majina maarufu ya wakopeshaji yalikuwa PAPAA, NDAMA n.k.
Sikushanga kabisa mama aliposema MKOPO WA 1.5.