Pole sanaa ndugu zetu waliopatwa majanga, awape faraja na kuwapa afuheni waliojeruhiwa na Mungu azilaze roho za ndugu zetu waliopoteza maisha mahali pema peponi amin⦠tunaliaaaaa #Oct29MassacreTanzania#roryaboy
@Labella_Mafia95 Hiphop ilikua kitambo sahv, ni kutrendisha ngoma, na punch moja ikasumbue tiktok hadi wakenya waje watoe sauti nyingine ya kutrend ila zamani was Golden era
Wamaasai wanapambania kesho yao, sisi tunampiga spana RPC, na wabakaji... tuwasaidie kupaza sauti na wao wapate haki zao..
#Wanjigi#LaCasaDeLosFamososMx