ππ KUELEKEA MIAKA 3 YA RAIS SAMIA, CCM KUELEZA KAZI NJEMA ALIZOZIFANYA IKIWEMO KUONGEZA NA KUKUZA UHURU WA KUJIELEZA - MWENEZI MAKONDA
"Wakati tunaenda mwaka 2024, Rais wetu mpendwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atakuwa anafikisha miaka mitatu (3) ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Chama cha Mapinduzi kitafanya kazi kubwa ya kusimulia mambo mazuri na kazi njema alizozifanya ikiwemo kuongeza na kukuza Uhuru wa kujieleza na kukutana"
Ndg. Paul Makonda
Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo
#VitendoVinaSauti
#CCMKazini
#KaziIendelee
Magonjwa ya Afya ya Akili yapo katika jamii zetu na kila mtu anamtazamo na uelewa tofauti kuhusiana na matatizo haya. Ni vizuri tikafahamu kuwa magonjwa ya Afya ya akili ni mangonjwa kama magonjwa mengine na yanatibika. Tusiwatenge wala kuwanyanyapaa Wagonjwa wa Afya ya akili!