I have knowledge and critical thinking also man of invasion
ONE DAY IF NOT YOU WILL BE YOUR CHILD will quote and appreciate my thoughts and they will say
These was done by YOPINTO
OR said yopinto✍
@Sativa255@pastajoshuatz Acha hasira Mzee, now you realize unalikuwa unafightia wapumbavu wenye mihemko tu
Kuna mda unaweza kujuta Kwa Nini unaforce sana kupambania haki za wajinga
Unaweza ukajiuliza Kwa Nini unaforce lakini unashindwa kumbe unapambania watu wasiojielewa
@EsirEid Mimi juzi nimekutana na manzi mbili zilinitafuta sana niwafanyie project Fulani, wakapanga mahali tukutane basi nikaenda pale kwenye Ile hotel tukawa na kikao kama 2hrs, manzi walikuja na ndinga Moja Kali namba E asee afu wanasema wao wanapiga mishe zao wenyewe
@Narrowbeeflying Mimi niliiba jero nikafungwa juu ya mti masaa sita, mawili ulikufa ganzi wote, na hapo sikukubali ila niliacha, nilikuja kuacha kudokoa nikiwa form 3, maana ilikuwa Kila usiku na asubuhi tunasali na Mimi nilikuwa naongoza maombi ko nahisi MUNGU alinisaidia
I'm still learning that world always depress lower class, and if you want to wake up you should try hard than harder to the hardest
And if you try to keep standards you will fight than you think.
What if you're not talented, well minded, my brother you will suffer.
Good luck 🤞