@joshua_kitoi@fatma_karume Vikao vyote vya FISI na Mbowe,CHADEMA na ACT. FISI alipendekeza kuwe na mgombea mmoja Maalim Visiwani na yeye FISI bara. CDM wakakataa! Wakataka Lissu asimame Muungano na Maalim Visiwani. FISI kakaidi maana tayari kamnunua Mbowe na Lissu sasa wanachezesha mchezo! #Tunajua
@GermanyTanzania mwambieni ndugu yenu @davidmcallister wakati huko kwenu watu wanalazimishwa kujifungia ndani, hapa ๐น๐ฟsisi tunajumuika bila masks wala sijui distancing maana hiyo #corona19 tulimtegemea Mungu ikaishia. Na hatujawahi kuacha kujumuika kwenye shughuli @TZinGermany
@freemanmbowetz Ni vyema ukasema wazi mpango wako binafsi na FISI. No election wakati umeweka fedha mfukoni ili baadae ushawishi chama kiunge mkono mgombea wa ACT. Kinachomponza LISSU aka KIGULU ni kumkataa kikaoni FISI. #Tunajua yajayo ni mtaumbuana hadharani
@zittokabwe#Tunajua Stress za wagombea kuugua. Maalimu kasafirishwa nje ya nchi kwa matibabu ya dharula na FISI anajiuguzia ndani. Eti โtunatafuta wadhamini kimya kimyaโ
FISI ameinunua nafasi ya ugombea kwa Zitto. Kisha akataka kuungwa mkono na CHADEMA. #Tunajua tayari Mbowe na Lissu wamelamba fungu. wako tayari kuizunguka CDM fomu ya Lissu iwe na makosa mengi ili asipitishwe na NEC. FISI kawahadaa kuwa Serikali ndio itaonekana imembania Tundu.
@joshua_kitoi@fatma_karume Vikao vyote vya FISI na Mbowe,CHADEMA na ACT. FISI alipendekeza kuwe na mgombea mmoja Maalim Visiwani na yeye FISI bara. CDM wakakataa! Wakataka Lissu asimame Muungano na Maalim Visiwani. FISI kakaidi maana tayari kamnunua Mbowe na Lissu sasa wanachezesha mchezo! #Tunajua
Kikeke @Salym fanya review ya mkataba wako hapo BBC dhidi ya ajenda za kuihujumu nchi alipozaliwa mama, baba, babu na mababu wa ukoo wako. Agenda zinazopitishwa hapo ili uziseme wewe live mbele ya dunia. Wakati unafanya hayo, uwe umepitia kabisa kamusi kufahamu maana ya โusalitiโ
Rais @MagufuliJP amefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kupambana vita hii ya #coronavirus Maana kama Serikali ingeweka #Lockdown, wananchi tungeteseka. Maana tungepanga foleni na kuleta mikusanyiko kama hii isiyo ya lazima na kufa njaa. @ClubMagufuli @CossenyEdward @maestrowafact