@KidutaNgosa Agenda zenu za kikuma sana! Mnajianika kifala mno! Cheap and petty moves, mnajiorganise kuja kuhalalisha mauaji. Ipo siku mtajitokeza hivyo hivyo hata kwa watakaokufa mbeleni. We know you very well and how you do what you plan. Time will tell!