@PMadeleka Kwahiyo dar hakuna mafuriko duuuuh kumbe ndo maana mnapuuzwa kwa vingi nyumba magari na watu wamesomba na mafuriko hasa mitaa ya tabata matumbi na jagwani
@HamadHamis @mshambuliaji Lakini tuwe na huruma na kumuogopa mungu yaani rack yake iwe hivyo asiende kucheza ulaya kwenye mipesa mingi aje bongo kwenye polojo kweli
@adamlutta Jamaani ushawishi wa kiimani ni mbaya sana maana kila mtu anaimani yake ingependeza kuwa kila mtu anachokiamini aendelee kukiamini na kukiabudu hiko hiko