Historia imeonyesha mara nyingi kwamba hatari kubwa kwa taasisi yoyote haitokani na wakosoaji wa wazi, bali kwa wale wanaovaa vazi la uaminifu huku kwa siri wakipinga misingi yake.
Bring ideas to life with Grok Imagine - super fast, groundbreaking AI image and video generation experienceBring ideas to life with Grok Imagine - super fast, groundbreaking AI image and video generation experience.
Nimeona vita ya betting leo humu ndani
Mimi ni mkamaria since 2012
Betting ni sawa na POMBE
Cheza au Kunywa Kistaarabu ndo kauli mbiu zake,kuhusu nani anateseka na betting ni mtumiaji Husika sio Mpiga Promo
Akili kumkichwa,karibuni MJINI๐ง
@mafolebaraka amegusa wapiga PROMO๐
Mwanamke bora hawezi kukuomba pesa kwa ajili ya nywele/simu au kukulipisha bill kubwa..
Ni kweli soko la mahusiano limejaa wahuni kibao, lakini hizo sio shida zako
Wanawake bora wapo kila sehemu, usikomae kuishi na mwanamke anayefanya maisha yako yawe magumu.