If you’re a Muslim and this appears on your timeline, please retweet. You never know who might see it and be reminded to fulfill their solat today. May Allah keep us steadfast in our prayers, guide us to never neglect our obligations, and accept our acts of worship. Ameen. 🤲🏽❤️
Ya Allah, do not let us grow accustomed to hardship. Give us ease after difficulty, joy after sorrow, and beautiful reasons to keep saying Alhamdulillah. Ameen. 🤲🏽
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 53
Anaendelea George
Tulivyofika kwenye kile Chumba nilimwambia majina yangu na yeye akajitambulisha kuwa anaitwa Tundu Antipas Lissu.
Akanipa na particulars zake zote. Anakoishi, umri wake na kazi anayofanya.
Baada ya kunipa particulars zake nikamwambia anatuhumiwa kwa kosa la uhaini kinyume cha 39(2)b cha kanuni ya adhabu.
Nikamwambia halazimishwi kusema lolote isopokuwa kwa hiari yake na lolote atakalosema litaandikwa na kuweza kutumika kama kielelezo hapa Mahakamani.
Nikamwambia haki zake kama kuwa na wakili au ndugu wakati anatoa maelezo yake na alinijibu kuwa ataendelea peke yake na nilipomuuliza kama ameelewa onyo na haki zake nilizompa basi alijibu kuwa ameelewa vizuri.
Alisaini na mimi nikasaini?
Hiyo caution statement PF 2A tunaiita hivyo.
Nilimueleza pia zipo njia mbili za kuchukua maelezo yake ambazo ni kumpa pen na karatasi kusudi aandike yeye Mwenyewe na njia ya Pili kutoa maelezo yake na mimi kumuandika.
Nikampa karatasi na pen ili aweze kuandika.
Aliandika kuwa maelezo yangu nitatolea mahakamani.
Akamaliza alisaini na mimi nikasaini pia pale chini.
Katuga anasema tunaanza kule nyuma.
Ulisema kuhusu alitoa na kuchapisha maana yake nini?
Jibu: aliita waandishi wa habari kwa lengo na nia ya hotuba yake wasikie watanzania na wasio watanzania.
Alichapisha mtandaoni kwasababu lengo lake ilikuwa ni ile taarifa waweze kusikia watu wote katika mtandao wa kijamii ambao ni Jambo Tv.
Naweza kuitambua ile picha mjongeo. Kwasababu mtoa hotuba ni mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu.
Alikuwa amevaa kombati ile ya Chadema na nyuma kulikuwa na bendera ya taifa na maudhui pia.
Kama yale ya ni kweli wanasema ni uasi tutakwenda kukinukisha sana sana.
Anarudia yale maneno yake.
Sasa baada ya pale chumbani tulipomaliza kuandika maelezo, nikawakuta wale Mawakili na waliniomba kuongea na mteja wao basi nikawapa hiyo nafasi waongee nae.
Na huyo Tundu Lissu Mwenyewe yuko hapa Mahakamani ni yule pale mbele yangu anamuonesha.
Lissu ameegamia kiti anamcheka Katuga. 😂 alishasema wamalize haraka anataka kumshughulikia.
Katuga anasema tunaishia hapa kwa shahidi huyu.
Anasimama Renatus Mkude Wakili Mkuu wa Serikali anasema anaomba tuendelee kesho kwa maswali ya Dodoso.
Shahidi jasho lilikuwa linamtoka sana wakati anaongozwa na Mawakili wa Serikali.
Naona wanamuonea huruma asianze kushughulikiwa leo.
Mhe. Lissu amesimama kwa hasira hajaanza kuongea.
Jaji anasema mshitakiwa unasemaje?
Mhe. Lissu leo tulichelewa sana.
Mimi nafikiri hata kama tulichelewa sana lakini huyu asiende hivi hivi.
Nipeni lisaa limoja nimshughulikie tutaendeleea kesho au hata nusu saa ya kuanzia.
Mengine tutaendelea nayo kesho.
Naomba iwe hivyo halafu hizi siku 30 mlizopanga hazitatosha tukienda kwa speed hii.
Majaji wanateta kidogo na watu wamecheka kuhusuu ombi la shahidi asiende hivi hivi.😂😂😂
Majaji wanasema tumeona kwa busara tuahirishe na kesho saa tatu asubuhi tukutane na shahidi bado hujamaliza ushahidi wako uko chini ya kiapo.
Tukutane kesho Tarehe 07/10/2025 saa 3 asubuhi.
Naomba repost yako kwenye tweet hii
Kama Bado Hujamwaga Moto kwa Elon Repost, Post Tag arudishe Account
Tag @elonmusk@Support to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender & victim of political persecution. Silencing him = silencing truth.
@nikitabier share Please
#UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech
Everything begins in the imagination. If you can see it in your mind, you can build it in your life. Never underestimate the power of vision it's the blueprint for your future.
Unaskia bro
Ukitoboa; jipongeze, jithamini, jipende, na shangilia ushindi wako.
-Hakuna mtu anayejua maumivu na msoto uliopitia
-Hakuna mtu anayejua gharama uliyotumia kufika hapo
-Hakuna mtu anayefahamu vita ulizopigana kuwa wewe
Ni wewe pekee unayefahamu safari yako. ENJOY