@_kinggeofrey@swahilitimes Usafiri wa treni tena hii SGR si kama wa daladala, Operation nyingi zinazofanyika ndani ya treni na station na wingi wa watumiaji ndo unachangia kuwepo kwa wahudumu wengi.
@Mwitah_tz Hii mikopo wanayopewa wanafunzi wa vyuo kwa ajili ya masomo , ningetoa baada ya kuhitimu Kila mmoja akachakarike anavyo weza sio mwanafunzi anasomeshwa kwa mkopo na mwisho anakosa ajira , anasababisha hasara kwa taifa na familia yake mwenyewe
@NkumbiJoram Kaka yangu Nami nikwambie Leo Nakubali sana kazi zako alafu kicheko chako kinanikoshaga sana ๐, Mungu AKUBARIKI Hakika wewe ni kioo Cha jamii.
Meli iko salama zaidi ikiwa ufukweni, lkn haikuundwa kwa ajili hiyo
Ndege iko salama zaidi ikiwa ardhini, lkn haikutengenezwa kwa lengo hilo
Mwewe yuko salama zaidi akiwa kwenye kiota, lkn hilo sio kusudi la kuumbwa na mabawa
Usiridhike na hapo ulipo kisa tu ni sehemu salama