BRT - MRADi wa MWENDOKASI DSM? Kulikoni kugeuka Kero kubwa badala ya ukombozi? Tutambue Usafiri wa umma si biashara ya faida. Ni huduma.
Ulaya serikali hutoa ruzuku. Asia waendeshaji makini ufidia kwa umiliki majengo karibu na vituo.
Ukiuacha ujifadhili wenyewe → ati sijui kuna mwekezaji ni vigumu kufanikiwa. Tuutafakari upya. Misingi yake inajulikana ili mradi izingatiwe.
maziwa fresh, kwa sababu ya lactose, yana faida kwa watoto wadogo
as you age, enzymes zako hazifanyi vizuri kumeng'enya maziwa
baadhi ya magonjwa yako wala siyo magonjwa ni mwili wako unapambana kuondoa maziwa - unalemewa
kwa sababu kila siku asubuhi unapenda kunywa maziwa
🙏
Instant noodles don’t stick to each other when cooking because it contains wax coating which is also used in styrofoam containers.
Our body needs up to 2 days to clean the wax. This wax can cause cancer and other metabolic disorders.
Viongozi walioko madarakani au waliostaafu ambao wakifariki misiba yao ni ya kitaifa ni;
1. Rais
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Jaji Mkuu
5. Spika wa Bunge
Msaada kwenu wasomi nielewe
Ongezeko la majimbo mapya ni faida kwa taifa au hasara? Ukubwa WA Jimbo unafanya mbunge ashindwe kuwahudumia wananchi kwani huwa wanaletaga nn kwetu? Jimbo likigawanywa ndiyo huduma mbunge anazipeleka haraka au ni ongezeko la Ajira?
Imam Shafi’i رحمه الله said:
“If you give advice to your brother in private, you have truly advised and respected him. But if you give advice in public, you have embarrassed and shamed him.”
[Ihya' Ulum al-Din, 2/182]