Wengi mliuliza kuhusu CHAKRAS ngoja niwajuze.
• Crown Chakra
Ipo utosini, Inahusiana na spirits (Majini au malaika).
• Third eye chakra
Ipo katikati ya nyusi mbili mtenganisho (Inahusiana na nguvu/akili).
.
.
Ilikua Jumamosi tulivu siku ya Bata kwa watu ambao umri umesogea kidogo [30+]..
.
Nikisema umri umesogea namaanisha wale ambao agemates wanaoa/kuolewa so weekends lazima harusi ziwahusu..
.
Siku hiyo Irene alikua na Harusi pale Maeneo ya Mbezi beach kwenye Ukumbi wa Mbezi Inn..