MBEYA ๐น๐ฟ.......๐
๐๐พMWANJELWA.....๐ข
WAUZAJI WA NGUO ZA KIKE NA KIUME
TUPO:Barabara Ya Mfikemo Ukimaliza Wigo Wa Hospital Ya Mwanjelwa Kutoka Barabara Kuu
@Kicheche_jr Usalama Brother, unapofungua mlango kidogo Kwa ajili ya hao wateja au uyo mteja ambapo baadhi ya mageti Unakuwa bado umeisharudishia ujui kabeba nini ana kuteka humo humo ndani kwako anakomba mauzo utalazwa chini kuja kuamka kutoka nje uoni mtu uta muuliza nani nje
@kwaheshima@bilohimself@emabilly2001 Boss mimi nimekupa maelezo nikategemea utaelewa kama uwezi ukapima ukimwi,VVU ni kifupi cha Virusi vya Ukimwi (HIV โ Human Immunodeficiency Virus)
UKIMWI ni hatua ya mwisho ya maambukizi ya VVU pale kinga ya mwili inapokuwa imeshuka sana (AIDS โ Acquired Immunodeficiency Syndrome
@kwaheshima@bilohimself@emabilly2001 sababishwa na Virus vya ukimwi, kwahiyo uwezi ukapima upungufu wa kinga ili kujihakikishia kwamba huyu ana ugonjwa wa ukimwi
@kwaheshima@bilohimself@emabilly2001 Yaah naweza, Tuanzie hapo penye swali nikurekebishe kwanza icho sio kipimo cha ukimwi ni kipimo cha Virus vya ukimwi au Ugonjwa wa ukimwi,kwahiyo utakuwa umeisha jua kinacho pimwa sio Ukimwi maana nikisema ukimwi ndio narudi comment yangu ya juu ni upungufu wa kinga Mwilini una