@godbless_lema Hivi hakuna watu wengine wanaweza kugombea hizo nafasi za Ubunge CHADEMA zaidi yenu? Kila Uchaguzi ni ninyi tu, Kwanini msipishe Damu changa ili kupata changamoto mpya?
@TheRealJongwe Hivi hakuna watu wengine wanaweza kugombea hizo nafasi za Ubunge CHADEMA zaidi yenu? Kila Uchaguzi ni ninyi tu, Kwanini msipishe Damu changa ili kupata changamoto mpya?
@godbless_lema Hivi hakuna watu wengine wanaweza kugombea hizo nafasi za Ubunge CHADEMA zaidi yenu? Kila Uchaguzi ni ninyi tu, Kwanini msipishe Damu changa ili kupata changamoto mpya?
@mkuuJr5 Anajaribu kutudanganya huyu, hivi anaujua uzito wa Sarafu? Zikijaa humo hanyanyui huyo hata kidogoooooo. Coins siho mchezo. Kuna kitu katanguliza humo kwenye kindoo ndio maana alivoweka hizo chache hapo kama zimenesa hivi🤣🤣🤣
@JonMrema Uteuzi umefanyika ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na siyo Serikalini, Ila wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ndio wanaoumia zaidi......You Guys are you Serious???