@bohny_chengula Wafanyabiashara wanapenda wapate hela nyingi wamkamue mteja watajirike huku wakikwepa kulipa kodi halisi wacha mchini atoe huduma kwa wanachi!
@ayubu_madenge Anafundisha kitu gani pale UDSM na mpaka sasa ameweza kufanya kitu gani hapa nchi amabacho kinaonekana kwa macho kuwa hiki ni cha prof kijana 39 years?