@AyubuEdgar Safi sana kaka, serikali ina mambo mengi ya kutekeleza na kusimamia. Ikiwemo ujenzi wa miundombinu. Hivyo haiwezi kuajiri wasomi wote. Tukiwa kama vijana tufanye kwa nafasi yetu ili kesho zetu ziwe bora
“Jamii inapokwepa mwanga wa kweli, macho yake huzoea giza. Na kila anayeleta mwanga huonekana kama adui, si kwa sababu amekosea, bali kwa sababu amekuja kuvunja utulivu wa uongo uliozoeleka.”
@Tanescoyetu habari, naitwa Lugano Mwandambo kutoka Iringa, tar 11-02 nilireport hitilafu nyumbani kwangu kwanamba 180. Nikapewa namba ya taarifa 10659590, Leo nilipoona kimya nikapiga tena simu kuifuatilia nikaambiwa tanesco iringa wamejaza kuwa nimehudumiwa.
Fellow Africans: We did it!!! Cameroonians have voted our 92-year-old president out of power.
They’ll try to steal our victory, but we won’t let them.
After 43 years, we’ve found our voice. We’ve found our power. 🇨🇲✊🏾
@TitoMagoti Sasa leo ndiyo itakuwa balaaa! Kuna mabasi kibao yana namba kwenye kioo cha mbele, jitahidi ukumbuke ulilo panda wakati unakuja usije ukapotea