Kuna jamaa nimekutana nao pahala hapa wakanisalimu, kwamba wananifahamu. Wananiambia ni watumishi wa umma ila wanamkubali mno Kiongozi wangu wa @ACTwazalendo@zittokabwe.
Wanasema wanatamani awe Rais wa nchi hii, hawamkubali JPM, ila kazi na hofu inawafanya wasiseme hadharani.
Ziwa Natron ni ziwa ambalo lipo kwenye mkoa wa Arusha km 115 kutoka mji wa Monduli,hili ndo ziwa kubwa miongoni mwa maziwa yenye maji ya chumvi barani Africa,ukubwa wa hili ziwa unaweza kuchukua dar yote hapo na ni ziwa la 10 katika maziwa yote yenye maji chumvi duniani. 👇
Eti Mahera na Kaijage wanasema wameweza kuregister wapiga kura wapya 4.5m mwaka huu! 🤣🤣🤣 baada ya miaka 7 NIDA wameregister waTZ 13-14m tu! Wangewafundisha NIDA basi kama ni rahisi! 🤷🏽♀️
Dear fellow Africans, we have a leadership problem! Most of our leaders are hellbent to make us toe the line instead of trying to convince us with logic. They want to lock us up, shoot us, intimidate us and not lead us. We don't have leaders, just greedy politicians #ChangeAfrica
Update from #Tanzania
The Secretary General of @ACTwazalendo was detained today by police today when he had a joint rally with @ChademaTz and (joint/opposition endorsed) Presidential candidate @TunduALissu
How sad - can we expect free and fair elections? #ChangeTanzania
Kuanzia Kesho watareport matukio Mbali mbali, kwa yanayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu, na uchaguzi wenyewe,
Follow account zifuatazo usipitwe na habari mpya
1.@kigogo2014
2.@RealHauleGluck
3.@MariaSTsehai
4.@Britanicca3
5.@IAMartin_
Follow hizi account na upate updates
Mtanzania popote ulipo mtazame mtu yeyote ambaye ni Afisa Usalama wa Wilaya ( DSO ) kama mtu Hatari kwa Demokrasia na Amani ya Tanzania. Hawa ndio wamepewa kazi ya ‘kusimamia Uchaguzi’. Huyu wa Kigoma sisi tumeshamweka kwenye uangalizi. Tafadhali sana watambueni na MUWATAZAME
Hongera sana Salum 💪🏽 kwa kweli umepambana pamoja na changamoto zote! Basi umalizie kwa kishindo kuhakikisha mawakala wanaapishwa na upigaji kura unaendeshwa ipasavyo!
Y'all need to get your act together - #AfricaHumanRightsDay and look at the human rights abuses all over the continent - start with Nigeria, look at Tanzania, Guinea where there are elections etc
#ChangeAfrica
@Mwanahalisitz Unamfungia mgombea siku 7 na zimebaki siku 7 uchaguzi,maana yake nini,huku siyo kuingilia mchakato wa uchaguzi kwa kutoa upendeleo(unfair added advantage) kwa mgombea mwenzake wa CCM ? Kwanini @TumeUchaguziTZ inaruhusu mambo haya,ya kipuuzi kabisa, Kubenea atashinda tu jimbo
"Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana. Kwa sasa , #PeoplesPower itumike maeneo ambayo hujuma zinaendelea.." @jjmnyika
👆🏿...this is from Ilala district in Dar where the agents from CCM spent a night at the office of the returning...were asked to be there since yesterday...but when the agents from the opposition arrived there at 12am to be confirmed...were refused entry for allegedly "being late"