Shilingi 269,501,500/= zatolewa na Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwa makundi ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika kipindi cha robo ya pili, ikiwa ni sehemu ya mikopo ya 10% ya mapato ya ndani ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2020/2021
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya wapitisha kiasi cha Tsh 74,964,752,348/= kuwa makadirio ya Mapato na Matumizi ya mpango wa bajeti ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022
Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Amede E.A Ng’wanidako akiongea na wananchi wa Mwansekwa Jijini Mbeya kuhusiana na mpango wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya wa kupima ardhi katika eneo hilo
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mbeya Mjini Bwana Amede E.A, Ng’wanidako akifungua mafunzo ya Uchaguzi Mkuu kwa Makarani waongozaji wapiga kura na kuwasisitiza Makarani hao kuyafahamu vizuri majukumu yao
Mikopo yenye thamani ya Tsh 260,000,000/= yatolewa na Jiji la Mbeya kwa vikundi vya vijana, watu wenye ulemavu na wakina mama, Mikopo hiyo imekabidhiwa kwa vikundi hivyo katika Stendi ya Kabwe na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Albert Chalamila....
RC Chalamila aliagiza jeshi la Polisi Mkoani Mbeya kuwakamata viongozi sita wa Madereva wa Maroli ya kubebea mawe katika machimbo ya mawe Jijini Mbeya yaliyopo Nsalaga karibu na Dampo kuu la Jiji la Mbeya
RC Chalamila atembelea mradi wa ujenzi wa Maabara tatu, Madarasa Mawili na Matundu sita ya vyoo unaotekelezwa katika shule ya sekondari Itezi Jijini Mbeya, shule hiyo imepokea kiasi cha Shilingi 146,600,000/= kilichotolewa na Serikali kwaajili ya ujenzi huo...
Halmashauri ya Jiji la Mbeya yatia saini Mkataba wa ujenzi wa eneo la Viwanda ( Industrial Park) vya usindikaji wa bidhaa za Kilimo kwa wajasiriamali wadogo na wakati na Kampuni inayojihusisha na usindikaji wa vyakula vya nafaka ,mboga na Matunda ya TAFOPA
Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata jimbo la Mbeya mjini waanza rasmi mafunzo ya siku tatu ya usimamizi wa uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika october 28, 2020........
Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata jimbo la Mbeya mjini wameanza rasmi mafunzo ya siku tatu ya usimamizi wa uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika octoba 28,2020......
Vitambulisho 168 vya wajasiriamali vyanunuliwa na Kampuni ya Raphael Group limited , baada ya Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya kutembelea wajasiriamali wa Kampuni hiyo iliyopo Uyole Jijini Mbeya
“Mwenyekiti usiwe sehemu ya kuanzisha hoja za malalamiko bali uwe sehemu ya kuanzisha hoja za utatuzi wa changamoto kwenye mtaa wako ili kuleta maendeleo kwa wananchi “ Dkt Tulia Ackson akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wenyeviti wa Mitaa wa Jiji la Mbeya.
Halmashauri ya Jiji la Mbeya imetoa pikipiki 27 zenye thamani ya Tsh 76,200,000/= kwa kikundi cha wajasiriamali Kanda ya Sai.
Hiii ni sehemu ya mikopo ya 10% ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya
Ukusanyaji wa mapato na usimamizi wa matumizi, Matumizi ya muda katika kazi, Uwasilishaji wa ripoti za kazi kwa watumishi wote pamoja na umoja katika kazi ni vipaumbele vya Mkurugenzi mpya wa Jiji la Mbeya wakati akizungumza na watumishi wa Jiji hilo jioni ya leo.......
“ Ukusanyaji wa mapato na usimamizi wa matumizi yake, matumizi ya muda katika kazi, uwasilishaji wa ripoti za kazi za kila siku kwa watumishi wote pamoja na ushirikishwaji wa kazi kwa watumishi”Elias Amede Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya akizungumza na watumishi jioni ya leo.......
Nimewateua wakurugenzi wawili kutoka Jiji la Mbeya kutokana na utendaji wao mzuri wa kazi hususani katika ukusanyaji wa mapato,,, katika kipindi hiki wamekusanya zaidi ya 103% ya mapato yao “ Rais John Pombe Magufuli “
Benki ya Stanbic tawi la Mbeya yakabidhi mantenki 6 ya kunawia mikono na vitakasa mikono 300 kwa Halmashauri ya Jiji la Mbeya ili kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa covid 19
Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya ACP James Kasusura amepokea mashine ya kisasa ya kunawia mikono kutoka Wizara ya Afya, mashine iliyotengenezwa na chuo kikuu cha Sayansi na tecknolojia Mbeya ( MUST) mashine hiyo itatumika Stendi Kuu ya Mabasi Mbeya......