Gerald Hando haendani kabisa na Kelele za Chumvi na Ndimu. Mara nyingi unaona kabisa anabaki nyuma na Unagundua kabisa kelele sio mambo yake. Hando ni mtu ambaye tumezoea kumuona akitulia na Kufanya vipindi makini tena vyenye Kujenga hoja au Kufanya Mahojiano bora kabisa.
Iko wazi "Lengo Kuu ni Mgonjwa apone"
Kaonana na nani? kapewa maelekezo ya dawa na mtaalam gani? - Jambo la Muhimu kabisa, mgonjwa apate nafuu ya maradhi yake,na sio vyengine.
"Maendeleo hayana Chama"
"MATIBABU HAYANA MWENYEWE" - @pharmadawaa
TOP 5 WASANII WA HIPHOP BORA ZAIDI 2023
05. BILLNASS
William lyimo (Billnass) amekua ni msanii mwenye mafanikio zaidi katika hii robo tatu ya mwaka ikumbukwe ametoa ngoma back to back kali kama Utaonaje ft Rayvanny, Tatizo na Ameyatimba ft Whozu na zote zimekua hit songs
na zaidi inategemeana na Hospitali utakayofanyiwa vipimo na Clinic,..
2. Clinic mara nyingi ni 3x a week, na kila ukienda utaacha 380K
Je utaweza?
3. Gharama za Hemodialysis Catheter 250K
Tunza afya yako, epuka matumizi ya mitishamba husababisha uharibifu wa figo zako🙌⚠️🩺✍
MITISHAMBA NA FIGO ⚠️🙌
Watu wanaokunywa dawa za mitishamba wana hatari ya kufeli Figo zao, dawa/sumu inayonywewa hupita kipimo cha dawa za kawaida
🩺Dialysis sio nafuu.
✍Kupandikiza Figo pia sio nafuu.
1. Unapofanya Registration, Vipimo nk kwa mara ya kwanza ni 1M
Nimeamka na Vibe leo,furaha kama yote,ile nakatiza mitaa ya home nakuta Mshua na Bimkubwa wananiteta aisee....
Eti nimelidhika kukaa bila kazi,maana hicho chumba ninacholala wangekuwa wamekipangisha aisee...
Nimepata hasira sana acha nikatafute 1000 langu nikaandae mkeka wenye Odds 5654....
Nikishinda lazima waisome namba😎
Mwenyezi Mungu akufungulie njia mishe zako zikajipe.. mzigo wa kutunza familia kiuchumi na kiafya ukawe mwepesi sana ... Upate kazi na mauzo yaongezeke kwenye biashara zako halali.... Claim it
#SupaBreakfast kwenye #WinoMzito gazeti la #Mwananchi wameandika 'AFUNGA NDOA NA WANAWAKE WATATU KWA MPIGO SIKU MOJA' huku sababu ikiwa ni kuteswa na mapenzi awali baada ya kuoa mke mmoja.
Ukikutana na huyu kijana utamshauri nini?