@Roma_Mkatoliki Hamna kitu!
Swala la mda upi sahihi kuolewa ama kuoa ni maamuzi ya mhusika!
Nimeoa 20s, six years in MARRIAGE no regrets, i got twins now wapo MEDIUM SCHOOLS... i built a house(value 50M+), i bought a car(value 15M+), i have a business (capital 10M+)
MUNGU WETU SOTE'
What a stupid leader. Kiongozii mbinafsi, na haini anaejifikiria yeye tuu. Hafikirii watanzania wenye amani na furaha yao sasa watapitia magumu Gani wakati wa machafuko. Hafikirii wazee,wanawake na watoto wasio na sehemu ya kwenda zaidi ya nyumbani kwao Tanzania. Gaidi mkubwa TAL
Hafikirii kuhusu wazee, wanawake na watoto wasio na hatia yoyote ya kisiasa. Anajifikiria yeye na uchu wake wa kuingia ikulu TU. Hana ata chembe ya utu, ni haini na gaidi mkubwa. Nyie mnaotaka mabadiliko kwa njia hiyo mnaifurahia hali inayoendelea DRC.
Lissu ni gaidi kabisa..
Watu wengi wanasema Lissu anaonewa lakini ukisikiliza alichokisema Lissu siku chache akiwa Dar es salaam unagundua kweli alistahili kukamatwa kwa namna Ile alivyokamatwa... Tuache kusema kwa mihemko na kukosoa jeshi la polisi kwa mihemko... Tundu Lissu anakauri mbovu za kigaidi.
Kauri zake zinaashiria uvunjifu wa amani... Ni mtu mbinafsi anayejifikiria yeye mwenyewe tuu na uchu wake wa madaraka... Familia yake ipo uhamishoni na yeye anao uwezo wa kuondoka nchini muda wowote... Hafikirii fujo anazohamasisha ni kiasi Gani zitawaathiri watanzania...
@humphreymoses64@eastafricatv Unadhani mtoa huduma hospitali akikupa huduma bure, akitoa maelezo ataeleweka? au ataonekana mwizi.. Mwisho afukuzwe. Serikali yetu haina fedha ya kutoa matibabu bure kwa kila mtanzania ..Cha msingi huduma ziko karibu tofauti na zamani ni jambo la kumshukuru mungu na serikali pia