Since 2017 up to now nakula POMBE!
sijisifu wala sijutii bali ushauri ni!..
Tumia pombe kiasi, pombe isikuendeshe, acha kuwekeza nguvu, akili na pesa kwenye POMBE bali tumia kama kiburudisho cha akili ya mwili!
Mwisho POMBE siyo tatizo bali tatizo ni WEWE MWENYEWE
For those that will hear this, Epuka pombe, hata usiikaribishe, wachache sana wanaweza kuimudu after 10 years.
Kama hamtalielewa hili kutoka kwangu basi shauri zenu.