Nawatakia kheri Watanzania wote katika kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru. Imekuwa safari yenye changamoto na mafanikio mengi ambayo Taifa letu linajivunia. Tutumie siku hii kutafakari na kuweka dhamira ya kuongeza juhudi na maarifa ya kulipeleka Taifa letu mbele na kwa kasi zaidi.
Wasichana wengi wana changamoto katika kutoa taarifa za kesi za rushwa ya ngono kwa kuogopa jamii itawachukuliaje, Her Initiative kupitia jukwaa la Panda Digital limefungua kipengele kitakacho muwezesha msichana kutoa taarifa za matukio ya rushwa ya ngono
https://t.co/3zglH6XN7z
Mshambuliaji wa klabu ya Young Africans SC, Fiston Mayele amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/23 akiwashinda Mosses Phiri wa Simba na Saido Ntibazonkíza wa Geita Gold alioingia nao fainali.
#KitengeSports
Tusisahau Tutakuwa Insta Live @yamtanzania saa 8:30 mpaka saa 11:00 Jioni Usipange Kukosa Tutakuwa Hapa.
@umatitanzania @sautiyavijana@una_tz @ Arusha, Tanzania https://t.co/2KCHmdv6D0