π¬ βNini kinamtokea Mwamnyeto? Sifahamu. Ninachojua anapitia wakati mgumu. Hachezi vizuri. Ana makosa mengi. Ukabaji wake pia ni duni. Haishangazi kuona Kocha Nabi kwa sasa analazimika kumrudisha Bangala kucheza sambamba na Job katika nafasi ya beki ya kati.β
- Edo Kumwembe.
... Lobi Manzoki amerejea mazoezini katika klabu ya Vippers πΊπ¬ kujiandaa na michuano ya (CAF) akitokea nyumbani kwao.
Kwa mujibu wa klabu ya Vippers, Manzoki alipewa Mapumziko mafupi. https://t.co/D0LAAuM0zm
HT || CST 0-1 YANGA
Goli letu la kuongoza lililofungwa na Bernard Morrison ni maalum kwa Msiba wa mshabiki wetu Dada Hadija na wote waliopata ajali jana. Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa nguvuππ½ https://t.co/sMa2v5xkUo
Kikosi kimeshawasili kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
#timuyawananchi#daimambelenyumamwiko
..............................
π± Live kiganjani mwako kupitia Oscar Tv download Sasa Link nimekuwekea kwenye Bio yangu https://t.co/kxxbaVHEA8