BREAKING NEWS: TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 140
Asanteni kwa mwitikio wenu mkubwa. Mpaka sasa, tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 140 katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Safari inaendelea.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Pia, Diaspora tunaweza sukuma mzigo kwa dada wa Taifa, @mangekimambi.
Asante sana
BREAKING NEWS: TUMEFIKISHA TSH. MILIONI 140
Asanteni kwa mwitikio wenu mkubwa. Mpaka sasa, tumefanikiwa kukusanya TSh. Milioni 140 katika Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Safari inaendelea.
TUENDELEE KUCHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Pia, Diaspora tunaweza sukuma mzigo kwa dada wa Taifa, @mangekimambi.
Asante sana
‼️🚨BASHITE NA UTAPELI NI PETE NA KIDOLE‼️
Huyu jamaa hajawahi kufanya jambo la maana zaidi ya kuua na kuteka! Sasa baada ya kushiriki njama zote ovu anasimama na kutangaza kambi ya tiba Arusha na kumsingizia Mungu huku akiwa wamechangia watu kuwa wajane na wamama kupoteza vijana wao kwa utekaji na mauaji yake
Lakini sasa mdau amedokeza kuwa kuna madawa pia yame expire kutoka pharmacy za marafiki zake!
Ni hatari sana mambo haya! Ila #TutaelewanaTu mbona?
‼️🚨 VIJANA WANAUWAWA KIHOLELA‼️
Huyu kijana Collins Erick Mkude alikuwa anafanya shughuli za ujenzi.
Mara ya mwisho alionekana Jumanne tarehe 14 Julai mwaka huu. Familia yake ilimsaka kila kituo cha polisi na walipofika Mwananyamala hospitali walikuta mwili wake mortuary jana Ijumaa 17 Julai na ana alama kadhaa za risasi - kwa kifupi aliuwawa!
Familia inataka majibu! Haiwezekani kijana atoweke alafu aibuke ameuwawa kinyama hivi! Hali hii mpaka lini?
Msiba uko Manze Uzuri
This young man disappeared for 3 days and his family found the body in a mortuary riddled with bullets! The family wants explanations!
This is what #Tanzania looks like under this murderous cabal! The youth are murdered wantonly!
#SamiaMustGo
Hivi @SuluhuSamia unaweza kuwa shetani kiasi hiki kumshikilia mtu aliyepigwa lisasi kiasi hiki na wewe una mume na watoto wa kiume..utakufa vibaya sana na hutazikwa damu yako italambwa na mbwa kama ya Yezebel
CCM hawakuridhika na waliyomfanyia Tundu Lissu, Tusiposimama na kukataa huu uovu kwa kutafuta umoja na mshikamono ili tupambane nao, Wengi tutaumizwa
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
‼️🚨WANACHAMA FEKI WA CHADEMA WAPO KAMBINI KWA HISANI YA AKINA ABDUL‼️
Mdau katutonya kuwa hili gari la jeshi linabeba vijana kuwaleta katika shule hiyo (jina tumehifadhi) na kupewa mafunzo ili wajitokeze kutoa kauli kama vile ni wanaCHADEMA na waonekane ni vijana wa CHADEMA. Wanataka waandae maandamano waandamane kudai @HecheJohn avuliwe uongozi 🙄
Hawa jamaa wanafeli mno - sasa mnatarajia nini na mtu anayesimamia shughuli ni Sumai na Abdul? Wapumbavu kabisa!
Eniwei waanze kuzoea uhalisia 👉🏽 #SamiaMustGo #FreeTunduLissu