Top Tweets for #samiamustGo
@mangekimambi @davitheempire Imekaa vizuri dada Mange. Tunashukuru kwa support na consistency yako.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu #ToneTone
@MariaSTsehai @AsmundAukrust Watanzania amkeeeeeniiiiiii!
#FreeTunduLissu
#SamiaMustGo
#NoRenciliationWithoutResponsibilities
Huu mtindo wa kupeana baiskeli Ccm wanautumia kufanya Ufisadi mkubwa. Wao wanaendesha mv8 nyie mburula mnapewa baiskeli? Kwani nini hawo wahudumu wasipewe pikipiki kama lengo ni zuri ? CCMRegime must Go #SamiaMustGo

Tangu wajiweke madarakani kwa kumwaga damu za watanganyika wasio na hatia, naomba kuuliza kuna cha maana chochote hata kuzindua barabara wamefanya hadi leo tunamaliza mwaka ? . Wapo bize kukimbizana na CHADEMA. #SamiaMustGo

@Jesusishighest @SuluhuSamia @tanpol @PatrobasKatambi @ikulumawasliano @ccm_tanzania @judiciarytz Nchi ngumu sana. Serikali batili inajiaminisha itashika nchi kwa staili hii milele. Haitawezekana. #SamiaMustGo #CCMmustGo
That is good enough @AsmundAukrust - we need accountability! Not enabling a regime that has gone completely rogue
Hakuna kuchoka ni kufinya tu!
#TutaelewanaTu #JusticeForMO29 #FreeTunduLissuNOW and the only path is via #SamiaMustGo

Haya ndo mambo wanayoyaweza wanaojiita seriakli ili kubaki madarakani kwa kutisha na kuumiza watu, halafu tukiwaambia, hako kamama kao kauaji kanatuita magaidi wakati gaidi ni yeye #SamiaMuuaji na genge lake la kigaidi la sisiemu. ๐ฎ #SamiaMustGo #CCMmustGo
TAARIFA MBAYA
Usiku wa leo, majira ya saa kumi, watu wanne waliokuwa na silaha za moto na vifaa vinavyodaiwa kutumika kuvunja mlango, huku wakiwa wameficha nyuso zao kwa vitambaa na bila kujitambulisha, wanaripotiwa kuvamia nyumbani kwa Katibu wa Wilaya ya Shinyanga wa BAVICHA, Alfred Masanja, na kuondoka naye.
Hadi sasa, haijafahamika alipelekwa wapi wala ni akina nani waliohusika na tukio hilo.
Tunafuatilia kwa karibu taarifa za tukio hili na tutatoa taarifa kamili leo Asubuhi
Jackson Mnyawami
Katibu wa Kanda ya Serengeti

My interview in @panoramanyheter
Tunaendelea kupiga kwenye mshono! Tunataka uwajibikaji - huwezi kuua MAELFU alafu uje kutu gaslight
#SamiaMustGo
https://t.co/JIl2spYwLC

@MariaSTsehai @lifeofmshaba Wakianzisha maandamano ya makamu sjui takataka gani, sisi tuyaungie yawe ni #SamiaMustGo waone mziki wa ukweli
Jamani tujitahidi hawa wauaji. wasitutoe kwenye lengo la katiba mpya, free tundu lissu , #samiamustGo na ukweli na uwajibikaji juu ya mauaji ya MO29..Hawa wauaji wanajaribu kuhamisha mjadala ili wapumue!! @ChademaTZ2 @MariaSTsehai @HildaNewton21 @HecheJohn @jjmnyika @SuluhuSamia
@HildaNewton21 Nchi ngumu. Haya mafedhuli yanafanya kila aina ya jambo ili kimama kiendelee kushika madaraka batili kwa sanaa na udanganyifu. Jemeni, #SamiaMustGo. We're all sick of the bitch. #CCMmustGo too. Takataka wote hawa ๐ฎ
Devil on the cross #SamiaMustGo

@MariaSTsehai @HecheJohn Tarime United, wanaharakati magaidi! Nawapenda sana Dada yangu @MariaSTsehai na Brother @HecheJohn ! I am very proud of you bhana bhaito! Mungu awajalie afya njema na maisha marefu! Tanganyika inawahitaji sana! #FreeTunduLissu #FreeTanganyika #SamiaMustGo

Support Baraza Kuu La CHADEMA
Mchango tume hapa
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu #TanzaniaMassacre

Mama Anna, umekuwa unajitahidi sana kutoa ushauri mzuri kwenye utawala huu kharam. Mungu aendelee kukupa moyo huo. Kuna msemo unasema โsikio la kufaโฆโ
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo #TanzaniaMassacre
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Support Baraza Kuu La CHADEMA
Mchango tume hapa
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu #TanzaniaMassacre

#FreeTunduLissu
Dunia nzima inasema Tundu Lissu aachiwe
Kimama kinakaza fuvu bure ๐ yuko out of options
Na #TutaelewanaTu
@lifeofmshaba Ni kama wanaomba maridhiano na Chakwera. Kwenye demand zao hawajataja @TunduALissu kufungiwa Ukonga ndivyo sivyo! #FreeTunduLissu #SamiaMustGo

Priceless๐๐ #SamiaMuuaji your time is up. #Wananchi wamekukataa. Umemwaga damu #TanzaniaMassacre kisa madaraka malaya mchafu mbwa wewe. Sasa hii ndo habari ya mujini. Ukasubiri umpigie @MwanaFA simu? ๐
Haya, limebuma๐ฎ #SamiaMustGo
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
111.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.2M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.3M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.2M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
73.7M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
70.9M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.1M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.2M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
63.8M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.4M followers

X 
@x
60.8M followers



















