Ndg zangu awali nimshukuru Allah kwa yote ,Namshukuru kwa Dhati Mh Rais kwa Imani yake ,nijikumu zito nimelipokea kwa Uwezo wa Allah Tutavuka ni sector iloajiri Watanzania wengi na changamoto nyingi Nawashukuru Watanzania wananchi wa Nzega na Kwa Dhati chama changu.
@jmkikwete Ulimdhalilisha ,ulimfrustrate ,ulimbebsha mzigo usiokuwa wake uliichafua heshima yake ,na 2015 dodoma wakati wana CCM wanakuomba ukutane nae baada mkutano mkuu ulifunga milango he left CCM bcs of failure of ur leadership and not bcs of ideological difference
Polisi wameniuliza maswali juu ya utekwaji wa Mo.Nimesema kuwa kutekwa kwa Mo na kupatikana kwake kumeacha wasiwasi mwingi. Naamini kama biblia ingekuwa bado inaandikwa pengine suala hili lingeandikwa kama muujiza.