Good morning! If y’all bought the signal as a group and still complaining you ain’t getting the full thing.. I’ll see if 2 people can share 1, but if the noise continues hiyo sasa ni shauri yenu bana. Sina time ya ku-settle differences, na mnajua hakuna signals enough saa hii.
I remember my mum akienda chama alikuwa anatuambia"nimeenda mpande juu ya miti watu wajue nilizaa nyani🤣 pia ng'ombe msifungulie nikikuja nitazipeleka hoteli" your mum alikuwa anawashow aje🤣😭
I remember my mum akienda chama alikuwa anatuambia"nimeenda mpande juu ya miti watu wajue nilizaa nyani🤣 pia ng'ombe msifungulie nikikuja nitazipeleka hoteli" your mum alikuwa anawashow aje🤣😭