. @potus , if America does not intervene Tanzania is going to be the next Zimbabwe or even Congo. Please don’t allow 1 person to destroy a beautiful country.
The first and second videos were taken on October 30, 2025—the second day of the protests.
The young men in those videos were not protesters. They were simply watching football in local cafés when police, acting under orders from Samia Suluhu stormed in and ordered the boys to lie face down on the ground. They complied.
Then, one by one, they were shot.
Their only “crime” was being young men in the wrong place at the wrong time. The purpose of these killings was terror. It was a calculated attempt to instill fear across the entire country and send a message that no one was safe.
The third and fourth videos were taken on the third day of the protests, as the violence and crackdown continued.
@SenTedCruz@SenatorShaheen@SecRubio@PeteHegseth
Abdul,
Pengine mengi yanayosemwa mitandaoni na mitaani dhidi yako si ya kweli. Lakini ikiwa hata asilimia ndogo tu ya yanayosemwa yana ukweli ndani yake, nakusihi uyatafakari kwa makini na kuchukua hatua mapema.
Historia inatufundisha kuwa wale wanaoshangilia na kupiga makofi juu yetu leo wanaweza kuwa mashahidi wa kwanza kesho mambo yanapobadilika. Nguvu, umaarufu na ushawishi ni vitu vya muda, havidumu milele.
Kumbuka pia kwamba nafasi na mamlaka ya wazazi wetu si ya milele, na wewe bado una safari ndefu sana mbele yako kama kijana. Hekima kubwa ni kujenga heshima, uadilifu na jina jema mapema kabla ya mazingira kubadilika.
Mungu huchelewa wakati mwingine, lakini haki yake haipotei. Ikiwa kuna jambo lolote lisilo sahihi, kurekebisha njia mapema ni busara kuliko kusubiri wakati ambao marekebisho yatakuwa magumu zaidi.
Huu ni ukumbusho wa KIMUNGU, kwa nia njema. Sijui hata kwa nini nimeandika. Lakini kesho huwa inafika.
HONGO zilizotolewa Kahama kudhibiti mkutano wa Chadema:
1. NMB walikuwa wanagawa majiko ya gas bure.
2.Bodaboda walipewa leseni bure.
3. Mama ntilie wamegaiwa Michele na unga.
Watanzania wa wamechukua wamekwenda mkutanoni.
Geita msg zilitumwa ktk simu wa watu. Haikusaidia.
"Ruto saii ata shetani amemuwacha afanye kazi Kenya shetani afocus na nchi zingine sababu yeye na shetani ni marafiki wameungana”
Ila majirani bhana 😅😅😎
Viwanja vya Nyankumbu, Geita Mjini vimeongea! Zaidi ya TZS 2,559,000 zimepatikana kupitia #ToneTone. MaCCM hayataki kuamini kwamba chama cha siasa ambacho ni mali ya umma Tanzania ni CHADEMA. Angusha TONE lako hapo kupitia 0744446969; Jina - CHADEMA HQ. #PeoplesPower. 👊🏾
LACK OF EXPOSURE INAWA EXPOSE WATAWALA HARAMU
Yaani Rais KILAZA, Aliyeandika Speech KILAZA, Mshauri wake (wa kumwambia atumie issue ya Mafuta as topic) ni KILAZA, Aliyepenyeza “Kimemo” (sijui ni Usalama Wa Taifa au Msaidizi au GIRISHONI) nae KILAZA!! 😫☹️
Unafanyaje DIRECT COMPARISON ya bei za Mafuta, na Nchi ambazo zina PURCHASING POWER PARITY ya matrillioni, na pia kuna CURRENCY DISPARITY ya 1:2600 (U$D), 1:3000 (Euro) and even 1:20 (KTsh) ?! Marekani state maskini kuliko zote mshahara kima cha chini ni $8 kwa Saa ($64 kwa siku) na jimbo hilo mafuta ni $3 kwa Gallon (so kwa liter ni $0.75 au Tsh 1875). Mshahara Wa Maskini wa Siku wa 160,000, na Mafuta lita 1875. Wewe Daktari unamlipa laki 9 kwa mwezi (yaani 30,000 kwa siku) alafu unajisifia kumuuzia mafuta kwa Tsh 3800 🤷🏾♂️
Alafu unatoa takwimu za Uongo, na anayekusahihisha nae anatudanganya pia. Mmeharibu THAMANI YA HELA yetu, kiasi kwamba senti hazina thamani. Marekani ukiona 8.00 sio mia nane, bali ni dola 8; hizo sifuri ni za SENTI!!
Pia hamjui tofauti ya METRIC SYSTEM (Litre, Kilo, Meter, Centimeter) na IMPERIAL SYSTEM (Ounce, Gallon, Pound, Inches). MSIGWA anakuja kutwambia bei ya Mafuta kwa Tani.. Kitu cha UJAZO anapima UZITO.
Kazi ya Viongozi ni kuleta ahueni kwa Wananchi, ila nyie HARAMU tunajua mpo kwa maslahi yenu binafsi ndio maana unatetea kutopunguza kodi kwa hoja na takwimu za mtu ambae hajaenda shule, hana exposure, na anayepiga Siasa/Propaganda.
Tokeni hapa… HAMUWEZI KUTUDANGANYA, MTAJUTA KUTUSOMESHA!
The Leader
‼️🚨DUNIA IMEANZA KUSHTUKIA MUUNGANO HUU WA KIWAKI‼️
Hili suala la meli kupeperusha bendera ya Tanzania muungano wakati Zanzibar ina mamlaka yake na inadai usafiri si suala la muungano ni upumbavu na uharamia! Wao wanatoa meli za kihalifu zitumie alafu nchi yote ndo tunawajibishwa!
Naona dunia imeshtuka sasa Zanzibar ipeperushe bendera yake kama inataka au wafuate utaratibu wa Muungano
Ila #TutaelewanaTu mbona!?