Mtu anakuuliza Valentino Uomo au Valentino Donna bei gani ??
Unampa bei anakujibu hakuna FAKE yake hiyo bei ya original imechangamka
Me: Namtumia namba ya muuza perfume aliye mwenge anayeuza AMOUAGE
Tsh 100,000/=
CASE CLOSED
Frame 1. Tsh 308,760/=
Frame 2. Tsh 360,800/=
Inawezekana mm sio mtu wa bank lakin kiu kwel bank za bongo wanatapeli....angalia kutoka 196,000 had 176,000...
20,000 imeenda wap? Kama unajua nielezee tafadhali
Hiyo post yangu iliyopita aisee ombeni ni very simple hakuna mambo mengi hizo ideas Zenu Bwana Putin anataka azitimize, application haimalizi ata dk 15 link nimewawekea 🫵
Haya jamani, fursa hii hapa! Rais Vladimir Putin ametusogezea fursa nyingine kupitia Presidential Grants Foundation kwa ajili ya kusaidia miradi yenye manufaa kwa jamii.
Una wazo la mradi lakini unahitaji ufadhili? Shindano hili la kimataifa linakaribisha maombi kutoka kwa raia
USIKUBALI KUUZIWA Tsh 450,000/=
REPOST 🛑
Hii ni Tsh 300,000/=
Mpaka inakufikia BONGO ndani ya masaa 18 toka Dubai bei pamoja na usafiri ✅
STRONGER WITH YOU
Intensely Available ✅
Scan Bar code Ukipokea💯
☎️WhatsApp +255719068333
Muagize Mudi yuko Dubai 🇦🇪