Sisi nonchalant boys tukisharusha hey mbili na umesema NO huwa tunajitoa tunafocus kwa mambo ya futaa na Bitcoin.The ratio btwn men and women is still 1:12 na bado millioni mbili watabaki bila.Buana let's respect women's with their decisions and don't abuse them!
😂😂Sasa mnatakutugeuzia na yeye ndio aliset simu, akavua manguo, akarecord uchi wake na kisha atatumia mwanaume alive kwenye ndoa? Sisi kama men makosa yetu hapo iko wapi jamani? 🤷🏾♂️